Hackinstosh
Hackintoshi ni nini
Hackntoshi ni kuingiza Mfumo wa Mac kwenye pc za Windows
Hasa zile zenye Intl processor leo tutafanya installation
hatua kwa hatua jinsi ya kusakinisha mfumo wa mac kwenye pc ya hp
EliterBook 8470p
Infomation kamili za pc hii
- Hp EliterBook
- i5-3320M
- Graphics card Intel HD 4000
- Ram DDR3 8GB
- HDD 500 GB
Vitu muhimu ambavyo unatakiwa kuwa navyo
- Usb flash kuanzia 15Gb
- Mac setup
- EFI
- Rufus
- Mintools partition
- CPU-Z