BIOS Settings
Intel BIOS settings
Zima pc yako wkati unaiwasha Bonyeza Kitufe Mfano
Kitacho kupeleka Kwenye setting ya BIOS
Mfano kwenye PC za HP ni F10
Ukisha ingia Funga hizi settings hapa chini
Kitacho kupeleka Kwenye setting ya BIOS
Mfano kwenye PC za HP ni F10
Ukisha ingia Funga hizi settings hapa chini
- Fast Boot
- Secure Boot Serial/COM Port
- Parallel Port
- VT-d
- VT-x
- Above 4G
- Hyper-Threading
- Execute Disable Bit
- EHCI/XHCI Hand-off
- SATA Mode: AHCI
Disable
Enable
Zingatia
Sio kila kitu nilicho kitaja hapo kwenye pcYAKO Kitakuwepo Hii nikwasababu Computer
Zinatofautiana
Hatua ya kwanza
Zima pc yako ikiwainawaka bonye bonyeza F10 HP/F12 DELL Itaingia sehemu ya BIOS Tafuta sehemu ya Boot Option