Installation
installation
Baada ya Ku save changes pc yako itazima kishaiatwaka ikiwaka itakuja sehemu hii Katika picha ya kwanza
Ikiwa itawaka na Haujaona Jina External USB Hard
Drive Angalia picha ya pili Katika picha ya Pili utaona Nimeweka Mishale katika
External USB Hard na Boot From EFI file
Katika pc yako
Yanaweza toka Majina hayo mawili Kwa pamoja au Lika tokea
Jina moja pekee Angalia picha namba Tatu Katika Picha Namba tatu nimekuweka Mshale Ikiwa
Itatokea External USB Hard Bonyeza Enter Ukibonyeza Enter
Itainga sehemu ya Boot installation
Hapo Utaanza installation Kama utavo ona kwenye video chini Ikiwa itatokea Jina Boot From EFI file Bonyeza Enter
Kisha Fuatisha hizo picha kila utapoingia Bonyeza Enter
Angalizo
Wakati unaenda Hatua hii Hakikisha Disk unayoifanya installationya mac OS Iwehaina vitu vyako vya muhimu
Kwani Unalazimika Ku format Disk yote Kwa sababu Mac
Inatumia Mfumo wa APFS partition alafu Windows
Inatumia Mfumo wa NTFS partition hivyo Kama
utakua na disk mbili vizuri au Ufute vitu vyote
Kwakua Havita Tumika tena Kwenye mac OS
Baada ya kusema hayo Tazama video hapa Chini
Katika Hatua ya installation > Formartting na settings Zingine Katika Hatua hii Itachukua Muda kidogo Kufanya installation
Hivyo vumilia Fuata hatua zote Kama utavyoona Kwenye Video









Comments