Cubase free v1
Free presetes
Cubase
- Finder
- Document
- Steinberg
- Setting Effect
njia ya pili drag and drop Fungua Data yako
Kisha chukua na kuweka
Transform your raw recordings into radio-ready tracks with our professional audio engineering services
Professional audio mixing with attention to balance and effects.
Final polish and optimization for all streaming platforms.
Complete package from raw tracks to final master.
Cubase
Kwanza ikumbukwe kuwa compressor zipo nyingi na tofauti tofauti nakusudia kitabia na katika utengenezaji wake wa tone ya kitu
hususa kwenye vocals.
Leo tutazungumzia compressor ya kawaida ambayo watu wengi wanaitumia — compressor inayotengenezwa na Waves bundle
RCompressor
Compressor hii iko na sehemu Kuu 5:
EN: Download this free mute guitar pack — perfect for producers, content creators and guitar players looking for soft, damped acoustic textures. Ready to use in your songs, beats or sound design
SW: Pakua hii pack ya gita ya mute bila malipo — inafaa kwa watengenezaji wa muziki wanaotengeneza maudhui na wanagitaa wanaotafuta sauti laini na zenye kuzimwa Tayari kwa matumizi kwenye wimbo beat au sound design
Karibu kwenye project hii ya Cubase ambapo utaona hatua kwa hatua jinsi nilivyomix na kumaster wimbo mzima kwa kutumia mazingira ya kitaalamu ya Cubase
Kwa wale wanaotaka kwenda mbali zaidi ya video unaweza kupakua full Cubase project iliyofanyiwa mixing na mastering tayari kufunguliwa kujifunza na kufanya mazoezi ndani ya DAW yako
✅ Faida za Kupakua Cubase Project
Welcome to this Cubase full project where I showcase step by step how I mixed and mastered a complete song using professional settings inside Cubase.
If you want to dive deeper beyond the tutorial, you can download the fully mixed & mastered Cubase project It’s ready to open, explore learn from and practice directly inside your DAW
✅ Benefits of Downloading Cubase Project
Kupitia 👇👇👇👇
Tutakupatia link ya kupakua Cubase project yako mara baada ya kuthibitisha malipo
Karibu kwenye project hii ya Logic pro ambapo utaona hatua kwa hatua jinsi nilivyomix na kumaster wimbo mzima kwa kutumia mazingira ya kitaalamu
Kwa wale wanaotaka kwenda mbali zaidi ya video, unaweza kupakua full Logic Pro project ikiwa tayari imefanyiwa mixing na mastering – tayari kufunguliwa kujifunza na kufanya mazoezi ndani ya programu yako
✅ Faida za Kupakua Logic Pro Project
Welcome to this Logic Pro full project where I showcase step by step how I mixed and mastered a complete song using professional settings inside Logic Pro
If you want to dive deeper beyond the tutorial, you can download the fully mixed & mastered Logic Pro project It’s ready to open, explore, learn from and practice directly inside your DAWa.
✅ Benefits of Downloading Logic Pro Project