Rcompressor
Compressor
Compressor ni plugin inayodhibiti tofauti ya sauti kati ya sehemu tulivu (quiet) na sehemu zenye kelele kubwa (loud) Inafanya hivyo kwa kupunguza volume ya sehemu kubwa sana halafu mara nyingi inaongeza kiasi cha volume ya jumla (make-up gain) Matokeo yake: sauti inakaa sawa zaidi imara na thabiti bila kuruka sana kwenye volume Vipimo muhimu kwenye compressor Threshold kiwango cha dB ambacho compressor inaanza kufanya kazi Ratio kiwango cha compression (mf 2:1, 4:1, 10:1) Attack muda compressor inachukua kabla ya kushika peak baada ya sauti kuvuka threshold Release muda compressor inachukua kuachia baada ya signal kushuka chini ya threshold Make-up Gain kuongeza volume baada ya compression ili kurudisha nguvu iliyopungua
Kwanza ikumbukwe kuwa compressor zipo nyingi na tofauti tofauti nakusudia kitabia na katika utengenezaji wake wa tone ya kitu
hususa kwenye vocals.
Leo tutazungumzia compressor ya kawaida ambayo watu wengi wanaitumia — compressor inayotengenezwa na Waves bundle
RCompressor
Compressor hii iko na sehemu Kuu 5:
- Threshold
- Ratio
- Attack
- Release
- Gain


